Tuesday, 25 March 2014

MAJANGA MLIMANI CITY..!! SHOPRITE YAUZWA WAFANYAKAZI WAGOMA NA KUANDAMANA..JIONEE HAPA

Jana mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie kwenye duka hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa duka hilo limeuzwa bila wao kupewa mafao yao …Habari zilizopo ni kuwa duka hilo limenunuliwa na Super Market Ingine kubwa Nchini Kenya Ambayo inakuja kupanua biashara zake hapa Dar …..

KATIKA MAAJABU YA DUNIA HII NI NAMBA MOJA: CHEKI PICHA KUKU ANAYEISHI BILA KICHWA



BINTI ACHWANA NA KITU CHENYE NCHA KALI HUKO SAME KISA WIVI WA MAPENZI


DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe,

Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,

Chanzo cha habari kiliieleza  kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi.

Chanzo hakikutaja jina la na 
Dada huyu na wala mtuhumiwa hajapatikana mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.

Tuesday, 18 March 2014

HUYU NDIYE MCHUMBA WA PAUL WA P SQUARE ,ANAYETARAJIA KUFUNGA NAE NDOA



P-Square's Paul Okoye will be marrying his longtime girlfriend and the mother of his son, Anita Isama on March 22nd in the bride's hometown in Port Harcourt. 

JUA SABABU ZA WARIOBA KUZUILIWA JANA BUNGENI

Wajumbe wa Bunge la Katiba, wakimwondoa mwenzao baada ya kutokea vurugu bungeni jana wakati Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akijiandaa kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba. Picha na Emmanuel Herman 
******
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alipata jaribio la kwanza baada ya baadhi ya wajumbe kupinga kuruhusiwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba kwa madai ya ukiukwaji wa kanuni za Bunge.

PICHA HIZI NA KIVAZI HIKI CHA LULU CHAZUA UTATA MTAANI..JIONEE HAPA

Saturday, 15 March 2014

HABARI NJEMA KWA WAPENZI WA SIMBA, KASSIM DEWJI AREJESHWA MSIMBAZI ,, UCHAGUZI SIMBA SC MEI 4


KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Simba SC kilichomalizika mida hii mjini Dar es Salaam, kimepanga Mei 4,mwaka huu iwe tarahe ya Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo, imeelzwa. Ofisa Habari wa Simba SC, Asha Muhaji ameiambia BIN ZUBERIY leo kwamba kikao hicho pia kimeunda Kamati ya Uchaguzi chini ya Mwenyekiti Damas Ndumbaro na Makamu wake, Salum Madenge.
Wengine katika Kamati hiyo ni Issa Batenga ambaye ni Katibu, Khalid Kamguna Katibu Msaidizi na Wajumbe Kassim Dewji, Juma Simba na Amin Bakhresa. Kesho Simba SC inatarajiwa kufanya mkutano wa wanachama wake kwa ajili ya kuifanyia marekebisho Katiba yao kwa maagizo ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

PICHA INATISHA...KIJANA AFARIKI GHAFLA BAADA YA KULIPULIWA NA SIMU



Taarifa iloenea sehem tofauti za mji wa Zanzibar:-
Kuna kijana anajulikana kwa jina la Ally mkazi wa Michenzani (Kiswandui)jirani na kwa bi mkubwa stadi umri wake miaka 22 amefariki ghafla maghribi ya leo,taarifa zilopatikana sababu ya kifo chake ni kuwa :

Friday, 14 March 2014

LULU AFUNGUKA "SIFANYI TENA KOSA, NIKIPATA MIMBA NAZAA TU" CHEKI HAPA


STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. 
Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.

Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi? 

Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa. 
Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza
kuniambia ni misteki gani? 

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEZALIWA NA VICHWA VIWILI HUKO INDIA, TAZAMA PICHA ZOTE..


picha ya mtoto huyu aliye na vichwa viwili.

JUHUDI ZA KUISAKA NDEGE ZAENDELEA KUSHIKA KASI HUKO MALAYSIA


Marekani pia imejiunga na juhudi za kuitafuta Ndege ya Malaysia
Wiki moja tangu ndege ya Malaysia iliyokuwa imewabeba abiria 239 kutoweka, juhudi za kimataifa kuisaka ndege hiyo bado zinaendelea.

MALAYSIA PLANE:FLIGHT MH370 SEARCH ENTERS SECOND WEEK NEXT

Malaysian Air Force officials show locations on a map during their search. Photo: 14 March 2014 The search continues both east and west of the Malay Peninsula


A huge international operation is continuing to try to find the Malaysia Airlines flight MH370 - one week after the plane with 239 people disappeared.

BREAKING NEWS..WEST BROM YAMTIMUA NICOLAS ANELKA.


Nicolas Anelka
Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefutwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu.
Klabu hiyo iliamua kuchukua hatua hiyo baada ya Anelka kutangaza kupitia mtandao wa kijamii kuwa anaacha kazi.

Deadly clashes in east Ukraine ahead of Crimea vote


An injured man carries a club as pro-Russian activists clash with pro-Ukrainian supporters in Kharkiv. Photo: 1 March 2014 Kharkiv has seen violent clashes between rival groups in recent days


Two people have been killed in clashes between pro-Ukrainian and pro-Russian activists in Ukraine's eastern city of Kharkiv, officials say.

VAN PERSIE AWAFUNGA MIDOMO VIZABIZABINA, AWAAMBIA;" NITAZEEKEA MAN UNITED"

MSHAMBULIAJI Robin van Persie amepuuza tetesi kwamba atahama Manchester United mwishoni mwa msimu baada ya kutofautiana na David Moyes kwa kusema atamalizia maisha yake yaliyobaki katika soka ya ushindani akiwa Old Trafford.
Van Persie aliiongoza United kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England katika msimu wake wa kwanza uliopita baada ya kununuliwa kwa Pauni Milioni 24 kutoka Arsenal, lakini amekuwa akisotea kucheza kwa kiwango chake tangu Moyes achukue nafasi ya Sir Alex Ferguson.
Imezalisha maoni kwamba mshambuliaji huyo wa Uholanzi anaweza kuuzwa mwishoni mwa msimu na Moyes amepanga kukisuka upya kikosi chake kwa kusajili nyota kadhaa akiweo Edinson Cavani.
Bado nipo nipo sana: Robin van Persie akionekana  mwenye furaha wakati wa mazoezi Uwanja wa Carrington jana

KICHANGA CHAFUFUKA DAKIKA 28 BAADA YA KUZALIWA MFU

                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                  Kuna msemo unasema, uchungu wa mwana aujuyae mzazi. Hapa pia niseme uchungu wa kujifungua, aujuaye ni mama. Na furaha ya ufufuo anaijua hasa aliyefiwa. Tukio mojawapo lililotokea nchini Canada, ambapo mama wa watoto watatu, alikuwa anatarajia kupata mtoto wake wa nne, binti - lakini hali ikawa tofauti siku hiyo.

LIGI KUU ENGLAND WIKI END HII NI FULU VISASI..MAN U NA LIVERPOOL,,,TOTTENHAM NA ASERNAL,SOMA TAKWIMU NA RATIBA YA MICHEZO YOTE.

Jumamosi Machi 15
MAN_UNITED_v_LIVERPOOL-MACHI_161545 Hull v Man City
1800 Everton v Cardiff
1800 Fulham v Newcastle
1800 Southampton v Norwich
1800 Stoke v West Ham
1800 Sunderland v Crystal Palace
1800 Swansea v West Brom
2030 Aston Villa v Chelsea
Jumapili Machi 16
1630 Man United v Liverpool
1900 Tottenham v Arsenal

SUPA SANDE-Jumapili Machi 16
MANCHESTER UNITED v LIVERPOOL
-Old Trafford

CHRIS BROWN NAE AFANYA HIVI,NI BAADA YA RIHANNA NA DRAKE KUONESHA LIVE MAPENZI YAO

Last week it was reported that Karrueche had finally given up on her relationship with Chris Brown after discovering that he was still secretly longing for Rihanna. Well, now that Rihanna and Drake are official, Chris took to Twitter last night to say Karrueche will always be his heart...then he deleted it.

NDEGE YA MALAYSIA IPO CHINI YA MAJI BAHARINI WATAIPATA HIVI KARIBUNI,,TB JOSHUA ANENA"

“The plane concerned is deep inside the sea. Some of the particles will be seen on the surface of the sea any moment from now.May their souls rest in peace. We pray the Lord gives the family and loved ones the strength to bear the loss. Our prayer and love are always with them, the nation of Malaysia and other countries who had passengers on this flight.”However,US Counter-terrorism officials now suspect that the plane flew for a total of five hours based on data automatically downloaded and sent back to Rolls Royce - the manufacturers of the Boeing 777's engines.
They are now pursuing the astonishing possibility that the plane and its 239 passengers was diverted to an undisclosed location 'with the intention of using it later of another purpose.The pilot or somebody else turned the planes' transponders off to avoid detection and flew it to another location

BABY MADAHA AWA KING"ANG"ANIZI..!!I AKOMAA NAPENZI LA MENEJA WAKE , KWA SASA ANG'ANG'ANIA KUOLEWA

MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi kwake.


                                      Baby Madaha akiwa na meneja wake Joe Kariuki.


Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha ‘Queen of Swaga’ alisema kutokana na uhusiano wake na Joe kuelekea kwenye ndoa, mara nyingi amekuwa akila bata zake nchini Kenya ambako ndiko mchumba wake huyo anakotokea.

HII LAANA JAMANI..!! BABU WA MIAKA 80 AMBAKA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6.

BABU mwenye umri wa  miaka (80), Benedict mkazi wa Tandika Kilimahewa, jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumbaka mjukuu wake wa kike (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka (6).


                                          Mtoto aliyebakwa na babu.


Tukio hilo la kuhuzunisha linadaiwa kutokea Machi 8, mwaka huu usiku wakati babu na mjukuu wake huyo wakiwa wamelala pamoja chumbani kwake.

Thursday, 13 March 2014

KWENYE SHIDA HADI UGANGA UNATUMIKA..!! MALAYSIA YATUMIA WAGANGA WA JADI KUTAFUTA NDEGE ILIYOPOTEA..!! TAZAMA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjY6gxTAZZUSPHL0QoyU8FVhQxEt6i30BYuicoKqdU9U7txOrDKZf-L3s2bljIFRg_UZLSMYwM26IDoUce38WsOCV6QiRB-y8jOadGXun0ByKjuq2jgI6F8f-ffoPYSwsP73UkvbMuqYOc/s1600/malysia.pngWakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.

SIKU YA HARUSI YA PAUL WA P-SQUARE IMEWEKWA WAZI, CHEKI HAPA


                                                                   Maandalizi ya Harusi ya Paul Okoye kutoka P Square pamoja na mpenzi wake Anita Isama, ambayo itafanyika tarehe 22 mwezi huu huko Port Harcourt Nigeria, yameanza kushika kasi ambapo mbali na mambo mengine, zoezi la kusambaza kadi kwa waalikwa maalum wa sherehe hii, tayari limeshaanza.

Harusi hii inatarajiwa kuweka rekodi nyingine ya aina yake, na hii ni kutokana na dalili za awali kabisa, ikianziwa na ufahari wa kadi yenyewe ya harusi ambayo tayari imekwishaonekana hadharani.

HAWA NDIO WAMAREKANI WALIO NUNUA HISA NYINGINE MANCHESTER UNITED.




article-2578234-0E699FE900000578-82_634x378                                                            Kampuni moja ya uwezekazaji ya kimarekani imefanikiwa kununua robo ya hisa zote za klabu ya Manchester United zilizowekwa sokoni katika soko la hisa la New York.
Kampuni ya Baron Capital imekuwa ikinunua hisa kwa muda sasa na mpaka kufikia jana ilifanikiwa kutimiza 24% ya hisa zote zilizokuwa zikiuzwa na familia ya Glazer, inayomiliki asilimia nyingi kwenye klabu hiyo. Kutokana na ununuzi huo wa hisa, kampuni hiyo sasa inamiliki 2.5% ya klabu ya Manchester United.
Baron Capital imelipa kiasi cha $150million ili kuweza kumiliki hisa 9,581,636.

AIJAWAHI TOKEA ,SAMSUNG YAJIPANGA KUGEUZA VIGANJA VYAKO KUWA KEYBORD, NI AJABU KIDOGO....CHEKI HAPA

Hivi karibuni SAMSUNG yajipanga kugeuza viganja vyako kuwa keyboard. Watengenezaji hao wa simu kutoka korea wanatarijia kuanzisha mpizani wa Google mwaka huu.

HII NI AIBU.JAMAA NA DEMU WAKE WAPITILIZA NA USINGIZI BAADA YA KUMALIZA KUFANYA NGONO KWENYE GARI.

Mwanaume Mmoja na Dada Mmoja walikutwa Ndani ya Gari wakiwa wamenzia fofo huku wakiwa uc*hi ndani ya Gari ikimaanisha walikuwa wanafanya yao walipomaliza wakasinzia hivyo hivyo ...Inaelekea Walikuwa wamelewa Chakari ..Inakuwaje hiii Jamani..Aibu

HATIMAYE RAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI

Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi.

BREAKING NEWZ! FINYANGO 2 ZA NYAMA ZAPELEKEA UNYAMA WA KUTISHA, JIONEE HAPA


Breaking news Ukatili dhidi ya watoto Mbeya bado ni tishio Baba mzazi amchoma moto mwanae mikono yote miwili baada ya kula finyango mbili za nyama Habari kamili tutawaletea baadae Mbeya yetu blog Wapo kwenye tukio.

TAZAMA PICHA ZA OMMY DIMPO ALIPOKAMATWA NA POLISI LONDON

IMG-20140312-WA0006                                                 Ommy Dimpoz ambae amerudi nchini hivi karibuni kutoka London ambapo alikua ameenda kwa ajili show 2 na kushoot Video chini ya usimamizi wa Gonga Entertainment. Katika Picha Ommy Dimpoz anaonekana ameshikiliwa na Metropolitan Police wa nchini uingereza na hii ni moja kati ya scene ambayo imetumika katika Video ya Nyimbo yake mpya iliyotengenezwa na Director Mr Moe Musa ambaye amefanya kazi nyingi sana na kubwa za wasanii wa Uingereza na Nigeria kama Azonto .

HII NDIO SIMULIZI YA WEMA SEPETU..MAREHEMU KANUMBA NAYE AHUSIKA

WEMA Isaac Abraham Sepetu si jina geni Bongo, ni suptastaa aliyetokana na kushiriki mashindano ya  kugombea Taji la Miss Tanzania 2006,  akashinda. Pia anafanya vizuri kwenye filamu za Kibongo.
Ni mrembo mwenye historia ndefu ikisindikizwa na matukio mabaya na mazuri katika kipindi chote tangu ashike taji hilo mpaka sasa.
                                                       Wema Sepetu alipotwaa taji la Miss Tanzania 2006.
Katika mahojiano na Amani mwishoni mwa wiki iliyopita, Wema ambaye ni mtoto wa mwisho wa aliyewahi kuwa waziri wa kwanza wa habari na utangazaji wa serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoungana na Chama cha Afro Shirazi (ASP), alianika maisha yake ‘ei tu zedi’ kama ifuatavyo:
Amani: Kwa kuanza Wema, tuambie mko wangapi katika familia yenu ya marehemu mzee Sepetu.
Wema: (huku akiachia tabasamu) tupo wengi kidogo, wanne.  Wa kwanza yupo Marekani anafanya kazi, wa pili yupo hapa Bongo, ameolewa. Wa tatu pia yupo  Marekani anasoma na anafanya kazi, mimi ni last born (mtoto wa mwisho).
Amani: Hivi, ulijiandaa kuwa Miss Tanzania mwaka 2006?
Wema: (kicheko) sikujiandaa. Kwanza nilikuwa naiona ipoipo tu. Sikuwahi kufikiria kabisa.
                      Wema akiwa na mama yake pamoja na marehemu baba yake enzi za uhai wake.
KUMBE MZEE SEPETU NDIYO CHANZO
Wema aliendelea kusema kuwa, baba yake mzazi marehemu mzee  Sepetu ndiye alikuwa chachu ya yeye kujitumbukiza kwenye mashindano ya urembo nchini.
“Baba yangu mzee Sepetu, Mungu amrehemu alipo, alikuwa akiyapenda sana Mashindano ya Miss Tanzania, kila mwaka alikuwa anashiriki kushuhudia tena kwa kukata tiketi mapema.
“Nakumbuka mwaka 2003, ule wa Sylvia (Bahame) tulikuwa nyumbani tukiangalia mashindano kwa runinga kwa sababu baba alikosa tiketi siku hiyo, akasema kumbe kuangalia mashindano kwenye runinga nyumbani ni vizuri sana, akasema anatamani siku moja amwone binti yake mmoja anashiriki hata kama hatashinda.
“Lengo lake lilikuwa akate tiketi akijua anayekwenda kumwangalia ni binti yake. Hata hivyo, sikuhifadhi akilini neno lake. Baada ya kushiriki 2006 na kutwaa taji ndipo nilipokumbuka maneno yale, siku moja tukiwa sebuleni nikamuuliza kama anakumbuka kauli yake, akasema anaikumbuka vizuri.”
Wema Sepetu.
ANAYAONAJE MAISHA BAADA YA KUWA STAA
“Kwanza nianze kwa kusema kwamba nilishajuta sana kuwa staa, lakini ikafika mahali Mungu ndiyo kanipangia kuwa hivi, kwa hiyo majuto yanatokea kwa kila mtu.
“Ila ninachomshukuru Mungu ni kwamba, mpaka sasa nina marafiki wengi ambao nilikuwa nao kabla sijawa miss na baada ya kuwa lakini hatuna mazungumzo ya ndani sana.
“Unajua baada ya kuwa miss nilikutana na watu wapya kikazi. Pia ujue niliingia kwenye filamu, kwa hiyo  nilikutana na wapya wengine.
                                       Ray C.
KUMBE K-LYNN, RAY C WALIKUWA WAKIMZINGUA
Amani: Kabla ya kuwa staa, naamini kuna mastaa waliokuwa wakikuvutia, ni akina nani hao Wema?
Wema: (anatabasamu) kama angetokea mtu na kuniuliza napenda kuwa kama nani, ningemjibu nataka kuwa air hostess (mhudumu kwenye ndege). Kwa  sababu dreams (ndoto) zangu zilikuwa huko.
Ila watu waliokuwa wakinivutia nikiwaona miaka ile ni Ray C (Rehema Chalamila) na K-Lynn (Jacqueline Ntuyabaliwe).
                                                            Jacqueline Ntuyabaliwe.
“Nakumbuka tulikuwa tukitoka shule na wenzangu tunakwenda kwenye duka la Mpemba mmoja kula sambusa, sasa magari yaliyokuwa yakipita nilikuwa namuona Ray C au K-Lynn.
“Ila nilikuwa naona wananizingua na umaarufu wao kwa sababu mimi Wema sikuwa na ndoto za kuwa maarufu.”
                                             Wema.
NI LINI ALIANZA MAPENZI?
Wema: (akionesha umakini) nilianza mapenzi mwaka 2005 wakati nashiriki Miss Dar Indian Ocean, ingawa mpenzi wangu huyo  simtaji jina. Huyu sweet niliachana naye baada ya kushiriki urembo mwaka huo.
“Awali aliniambia nikishiriki mashindano ya urembo mimi na yeye basi, yaani hakupenda, alijua nitakuwa mtu wa watu wengi.
“Hata hivyo, nilishiriki kwa siri na siku ya shindano nilishtuka kumuona akiwa mbele anapiga picha. Lakini alinielewa kwani aliendelea na mimi mpaka nilipofika Miss Tanzania, baada ya hapo, kwa sababu nilikuwa bize sana nikawa sionani naye, kila akinipigia simu nipo bize, yeye mwenyewe akasema tuachane, tukaachana lakini hadi sasa tunasalimiana vizuri tu.”
                                    Wema akiwa na marehemu Kanumba.
MARA YA KWANZA KUKUTANA NA KANUMBA WALIKISI MARA MBILI
Amani: Vipi kuhusu Kanumba?
Wema: (anaonesha masikitiko) siku ya kwanza kukutana na Kanumba, da! Mungu ailaze mahali pema roho yake. Nilikuwa na dada yangu anayeishi Sinza, maana nilikuwa naishi kwake. Siku hiyo mimi na dada tulikuwa mitaani tukitafuta carpet (zulia).
“Tulifika nje ya duka moja tukamkuta Kanumba na makamera yao ya muvi pale. Akatokea Mayasa Mrisho (Maya) tukasalimiana, akaniambia amenipenda sana, nikamjibu mimi pia, tena napenda anavyoigiza.
“Akapaza sauti kumwambia Kanumba umemuona Wema, Kanumba akasema ooo, sawa nimemuona, lakini akaendelea na shughuli zake. Aliniringia f’lani hivi.

HUU NDIO UKWELI, RIHANA NA DRAKE SI SIRI TENA ..MABUSU NJE NJE...

                                                                    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na tetesi za wanamuziki Drake na Rihanna kwamba wamerudisha mahusiano yao ya kimapenzi.

HII AIJAWAHI TOKEA .DOGO JANJA NA DOGO ASLAY WASABABISHA WAPENZI KUVUNJA UCHUMBA

MADOGO wanaotikisa katika ulimwengu wa muziki Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ na Asilahi Isihaka ‘Aslay’ wamedaiwa kuvunja uchumba wa jamaa aliyefahamika kwa jina la Fikiri Chodas na Farida.
                                                          Asilahi Isihaka ‘Aslay’.

BAADA YA ALI KIBA KUNUSURIKA KUUAWA , DIAMOND AHUSISHWA ,AKUBALI KUHOJIWA NA POLISI

SAKATA la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa na polisi.                                                                                 Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Kwa mujibu wa chanzo chetu katika jeshi hilo jijini Dar, Diamond ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata hilo kupitia mitandao ya kijamii ataitwa kuhojiwa.

Tuesday, 11 March 2014

MAN CITY WAIFUATA BARCELONA KUJARIBU MAAJABU CAMP NOU .ONA PICHA JINSI WALIVYOWASILI.

KLABU ya Manchester City imeondoka leo England kwenda Hispania kukamilisha kile ambacho mbele ya wengi ni mpango usiowezekana, itakapomenyana na Barcelona Uwanja wa Camp Nou kesho.
Timu ya Manuel Pellegrini inatakiwa kukipiku kipigo cha mabao 2-0 walichopata Uwanja wa Etihad kutoka kwa Barcelona katika mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mpango usiowezekana? Kikosi cha Manchester City kikiwasili Uwanja wa ndege kwa safari ya Hispania
Heading for the exit? Manuel Pellegrini arrives at Manchester airport ahead of their flight to Barcelona
Calm: The Manchester City boss looked relaxed despite the side facing an early exit
Wanakwenda kutolewa? Manuel Pellegrini akiwasili Uwanja wa Ndege wa Manchester tayari kwa safari ya Barcelona
Focused: Samir Nasri and Yaya Toure walk in to the airport together
Key men: Skipper Vincent Kompany and striker Sergio Aguero both made the trip out
Samir Nasri, Yaya Toure, Vincent Kompany na Sergio Aguero ni miongoni mwa wachezaji tegemeo wa Man City

TAKWIMU KUELEKEA GAME YA BAYERN VS ARSENAL - GUNNERS NDIO TIMU YA MWISHO KUPATA CLEAN SHEET NDANI YA ALLIANZ ARENA


  • Arsenal ndio timu ya mwisho kutoka uwanja wa wa Allianz Arena bila kuruhusu wavu wake kuguswa na Bayern Munich katika Champions League, waliposhinda 2-0 msimu uliopita March 13 2013.

HATIMAYE DIVA LOVENESS LOVE AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA WAPENZI WAKE WOTE..AKIWEMO GK NA MH ZITTO...SOMA HAPA KUJUA

                                                   Crazy Gk na Diva

Hivi karibuni baada ya Mahusiano ya Kimapenzi kati ya Mtangazaji maarufu wa Radio na Msanii King Crazy Gk, sisi tunayaita mahusiano kati ya Gangstar (GK) na Sister Du (Diva) fans wa wawili hao wamekua wakijiuliza maswali mengi bila kupata majibu kutoka Kwa Mastar hao wawili, kwa mfano je walikutana vipi mpaka wakaamua kuingia kwenye mahusiano, wana mipango gani huko mbele na vitu kama hivyo, sasa Gazeti la makorokocho online limekaa chamber na Mwanadada Diva Loveness Love ambae ni mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho ya Clouds fm, Tumepiga nae story nyingi kuhusu mahusiano yake ya sasa hivi na yaliyopita