Saturday, 8 March 2014

MOYES, MAN UNITED YAANZA SAFARI KUOKOA MSIMU MBOVU!


think the key is to improve all things," said Moyes. "I want creativity and think the introduction of Juan Mata and his interplay with Rooney and Robin that I've seen recently has helped that creativity.
"I want to make sure when the creative players aren't getting goals, or the chances aren't coming, we keep the back door shut and don't concede because then we have to chase the game.MOYES, MAN UNITED YAANZA SAFARI KUOKOA MSIMU MBOVU!
>>LIGI BADO MECHI 11, ULAYA KIKWAZO OLYMPIAKOS!
>>MOYES ANAAMINI UBUNIFU WA MATA, ROONEY NA VAN PERSIE UTAWAOKOA!
JANA DAVID MOYES aliwaandikia Mashabiki wa Manchester United kuwashukuru kwa sapoti yao kubwa na pia kukiri kuwa Msimu huu umekwenda ovyo kupita walivyofikiria, Jumamosi Man United ipo Ugenini huko The Hawthorns kucheza na West Brom Mechi ya Ligi Kuu England na huo ni mwanzo wa safari yao ya Mechi 12 kuokoa Msimu wao.


MAN UNITED-Mechi zilizobaki Msimu huu:
[Mechi za Ligi isipokuwa inapotajwa]
-Machi 8: West Brom v Man United
-Machi 16: Man United v Liverpool
-Machi 19: Man United v Olympiakos [UEFA CHAMPIONZ LIGI]
-Machi 22: West Ham v Man United
-Machi 25: Man United v Man City
-Machi 29: Man United v Aston Villa
-Aprili 5: Newcastle v Man United
-Aprili 12: Man United v Hull
-Aprili 20: Everton v Man United
-Aprili 26: Man United v Norwich
-Mei 3: Man United v Sunderland
-Mei 11: Southampton v Man United

MOYES-OLD_TRAFFORD_TOUCHLINEKwenye Mechi hizo 12, moja ni Marudiano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI dhidi ya Olympiakos ya Ugiriki huku wakitakiwa kupindua kipigo cha 2-0 walichopewa huko Ugiriki  katika Mechi ya Kwanza.
Kwenye Ligi, Man United, ambao ndio Mabingwa Watetezi wapo Nafasi ya 7, wakiwa Pointi 18 nyuma ya Vinara Chelsea huku pia wakiwa wapo nje ya FA CUP.
Jumamosi Man United ipo Ugenini huko The Hawthorns kucheza na West Brom Mechi ya Ligi Kuu England, Timu ambayo, kwa mshangao wa wengi, iliifunga Man United huko Old Trafford Mwezi Septemba Bao 2-1.
Lakini tangu wakati huo, West Brom wameshinda Mechi 2 tu kati ya 22 na sasa wanae Meneja mpya, Pepe Mel, baada kutimuliwa Steve Clarke, lakini Meneja huyo hajashinda hata Mechi moja kati ya 6 alizosimamia hadi sasa.
Mbali ya tatizo hilo, WBA wataingia kwenye Mechi hii bila Straika wao Mkongwe kutoka France, Nicolas Anelka, ambae amefungiwa Mechi 5.
Akiongelea Mechi hii hivi Leo, David Moyes amesema anaamini ubunifu wa Juan Mata, Wayne Rooney na Robin van Persie utazaa matunda.

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Machi 8
1545 West Brom v Man United
1800 Cardiff v Fulham
1800 Crystal Palace v Southampton
1800 Norwich v Stoke
2030 Chelsea v Tottenham

No comments:

Post a Comment