Hivi
karibuni SAMSUNG yajipanga kugeuza viganja vyako kuwa keyboard.
Watengenezaji hao wa simu kutoka korea wanatarijia kuanzisha mpizani wa
Google mwaka huu.
![](http://lh4.ggpht.com/-ZdQwm4-lKm0/Ux8hPkXyyeI/AAAAAAAAAdw/cQyCWkTrPXg/s400/article-2575805-1C1D19D000000578-514_634x392.jpg)
Katika
technologia hiyo Samsung wataanzisha vifaa vya kuvaa machoni ambavyo
vitaweza kuvifanya viganja vya watu kuwa Keyboard. Watu watakaokua
watakaokua wamevaa miwani kama za Google Glass kwenye kifaa kiitwacho –
Galaxy Glass – wataweza kutazama kwenye viganja vyao ambavyo vitachorwa
ramani ya keyboard na wataweza kutumia vidole gumba kubofya vitufye
wavitakavyo.
![](http://lh4.ggpht.com/-IF7AAEJMygg/Ux8hQbsj4xI/AAAAAAAAAd4/MiDUao8lyL4/s400/article-2575805-1C1CE70D00000578-320_634x531.jpg)
utengenezaji simu duniani,Samsung imeanzisha huduma ya bura ya kustream muziki Milk Music. Huduma hiyo ianpatikana kwenye simu zake za Galaxy nchini Marekani, Ina zaidi ya redio 200 na nyimbo milioni 13
No comments:
Post a Comment