Wednesday, 5 March 2014

RONALDO APIGA MBILI URENO IKIIKUNG'UTA MKONO CAMEROON...SASA NDIYE MKALI WA MABAO MILELE URENO


>>TIMU ZAMUENZI MADIBA, ZAVAA 46664!!
BRAZIL, Wenyejji wa Fainali za Mwaka huu za Kombe la Dunia Mwezi Juni, Leo huko FNB Stadium, Johannesburg, wamewanyuka Wenyeji wao South Africa Bao 5-0 kwenye Mechi ya Kirafiki ambayo pia ilkuwa ya kumuenzi Kiongozi Marehemu Nelson Mandela ambapo Bafana Bafana walivaa Jezi zenye Namba 46665, Namba ya ‘Mfungwa’ Madiba alipokuwa Jela, na Brazil kuingia Kipindi cha Pili wakibadili Jezi zao za kawaida za Njano na kuvaa Bluu huku wakiwa na Utepe Mkononi wenye Namba 46664.


MAGOLI YA BRAZIL:
-Dakika ya 10 Oscar Dos Santos
-41 Neymar Da Silva
-46 Neymar Da Silva
-79 Fernandinho
-90 Neymar Da Silva
+++++++++++++++++
BAFANA_v_BRAZIL1Kama kawaida, Neymar aling’ara kwa kupiga Bao 3 na nyingine kufungwa na Oscar na Fernandinho.
Matokeo haya ni tofauti kabisa na Mechi za nyuma za Brazil na South Africa ambazo Brazil amekuwa akishinda Bao 1-0 katika Mechi 4 zilizopita.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Bafana Bafana: Williams, Ncongca, Matlaba, Khumalo, Nthethe, Furman, Jali, Serero, Claasen, Parker, Rantie
Brazil: Cesar, Rafinha, Thiago Silva, David Luiz, Marcelo, Oscar, Fernandinho, Paulinho, Hulk, Fred, Neymar
MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Malawi 1 Zimbabwe 4
Mozambique 1 Angola 1
Mauritania 1 Niger 1
Zambia 2 Uganda 1
Congo 0 Libya 0
Japan 4 New Zealand 2
India 2 Bangladesh 2
Burundi 1 Rwanda 1
Russia 2 Armenia 0
Georgia 2 Liechtenstein 0
Iran 1 Guinea 2
Lithuania 1 Kazakstan 1
Azerbaijan 1 Philippines 0
Bulgaria 2 Belarus 1
Burkina Faso 1 Comoro 1
Hungary 1 Finland 2
Greece 0 South Korea 2
Albania 2 Malta 0
20:00 Algeria Vs Slovenia
South Africa 0 Brazil 5
Montenegro 1 Ghana 0

No comments:

Post a Comment