Shilole, Madee, Profesa Jay, Young Dee, Afande Sele ni wasanii
waliojituma sana kwenye game la Bongo fleva ilikukamilisha nyumba zao na
kuhamia. Mpaka sasa Shilole anaendelea kujenga nyumba yake na picha ya
mwisho tulionya matengenezo yana karibia kuisha
Well its time na Diamond kumaliza nyumba yake, Hii Picha Nyingine kuhusu ujenzi unaoendelea wa nyumba yake.
No comments:
Post a Comment