TAKWIMU KUELEKEA GAME YA BAYERN VS ARSENAL - GUNNERS NDIO TIMU YA MWISHO KUPATA CLEAN SHEET NDANI YA ALLIANZ ARENA

- Arsenal
ndio timu ya mwisho kutoka uwanja wa wa Allianz Arena bila kuruhusu
wavu wake kuguswa na Bayern Munich katika Champions League, waliposhinda
2-0 msimu uliopita March 13 2013.
- Bayern wameshinda mechi 11 kati ya 12 za mwisho za Champions League, wamepoteza moja dhidi ya Arsenal.
- Bayern wameshinda mechi 6 katika hatua ya mtoano wa mechi za Champions League.
- Bayern ndio timu iliyopiga mashuti mengi langoni katika Champions League - imepiga mashuti (59).
- Arsenal
wameshinda kwa angalau 2-0 katika mchezo wa ugenini wa hatua ya mtoano
katika Champions League mara mbili: dhidi ya Milan mwezi March 2008
(2-0) na Bayern mwezi March 2013 (2-0).
- Arsenal
wameweza kupata clean sheets 3 katika michezo yao 27 ya ugenini ndani
ya Champions League, mechi 2 kati ya hizo 3 walizotoka bila kuruhusu
wavu kuguswa zilikuwa dhidi ya Bayern mwezi March 2013 na dhidi ya
Dortmund mwezi November 2013)
No comments:
Post a Comment