Tuesday, 25 March 2014

BINTI ACHWANA NA KITU CHENYE NCHA KALI HUKO SAME KISA WIVI WA MAPENZI


DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe,

Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,

Chanzo cha habari kiliieleza  kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi.

Chanzo hakikutaja jina la na 
Dada huyu na wala mtuhumiwa hajapatikana mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.

No comments:

Post a Comment