Tuesday, 11 March 2014

HUYU HAPA STAA WA ULIMWENGU KUTOKA EAST AFRICA MDADA LUPITA NYONGO akiwa katika pozi Hataree

Uigizaji kaazi kweli kweli...Unaambiwa ukienda kuigiza movie Hollywood hakuna masikhara hata kidogo, unapoambiwa huu ni muda wa scene ya mapenzi na lazima uwe mtupu ni lazima ufanye hivyo no way out...Hivyo ndivyo ilivyomkuta star wa dunia anayetoka hapa East Africa katika nchi ya Kenya mdada Lupita Nyong'o ambaye ni mshindi wa tuzo ya Oscar ambazo ndio kubwa zaidi ulimwenguni...

Lupita katika scene mojawapo ndani ya movie iliyompa tuzo hiyo iitwayo 12 years a slaveilimpasa acheze akiwa hajavaa kitu juu (matiti wazi) kma inavyoonekana pichani chini...Kwa waliongalia movie hiyo watakuwa wameliona hili...
Na wewe ambaye hujaangalia bado tafadhali kuwa makini kama waangalia na watoto wadogo....
PICHA HIYO HAPA CHINI.. 
  
You might also like:

No comments:

Post a Comment