Monday, 10 March 2014

HIKI NDICHO KILICHOSEMWA NA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MSANII AT NA KUTO KUMLIPA MGANGA WAKE WA KIENYEJI

 Kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa jadi dhidi ya AT   ambaye  ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni…
 
Asubuhi AT alifika mahakamani mapema na ilipofika zamu yake akaitwa na na kusomewa shitaka na AT alikanusha…
 
Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 04 April 2014, ambapo mdai ambaye ni mganga Dr sherif ametakiwa kwenda na vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo,
ATKatika kesi hiyo,  Dr sherif anadai kuwa kati ya mwaka 2010 na mwaka 2013 alimtibu   msanii  AT, na msanii huyo hakulipa bili  za  matibabu  hayo.
Matibabu hayo ni pamoja na kuinua nyota yake, kumpatia tuzo ya kili mwaka 2013, na mengineyo.

No comments:

Post a Comment