Monday, 14 July 2014

BUSU LA MABUSU NI HILI LA MATS HUMMELS NA CATHY WAKE

Busu tamu zaidi: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akipigana bush motomoto na mpenzi wake, Cathy Fischer baada ya fainali ya Kombe la Dunia jana, nchi yake ikiibwaga Argentina 1-0

No comments:

Post a Comment