+12Karibu ulete mataji: Kocha mpya wa Manchester United,
Louis
Van Gaal kushoto akikaribishwa katika ofisi yake mpya na Makamu
Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward makao makuu ya Mashetani hao
Wekundu, Carrington.
+12
Van Gaal akiwa na Kocha Msaidizi, Ryan Giggs kushoto
+12
Aliwasili na ndege hii binafsi Uwanja wa Ndege wa Manchester leo asubuhi
No comments:
Post a Comment