DIEGO COSTA ATAKA KUZIPIGA MCHEZAJI WA VITESSE KISA KUCHEZEWA RAFU
Chupuchupu
zipigwe: Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akizinguana na mchezaji
wa Vitesse Arnhem, Guram Kashia wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya
timu hizo leo. Chelsea ilishinda 3-1.
+7
Chanzo; kasheshe hilo lilifuatia Costa kuchezewa rafu na Labyad
No comments:
Post a Comment