Evans Elieza Aveva amefanikiwa
kumshinda mpinzani wake
Andrew Tupa na kuweka rekodi ya
kuwa kiongozi wa kwanza wa
Simba Sports Club wa ngazi ya
juu kuliko zote kutumia jina la
Rais.
Pia mashabiki wa Geofrey Nyange 'Kaburu'
aliyekuwa anagombea makamu wa rais nao
wameanza kushangilia wakionyesha wamepata
matokeo kwamba amewashinda akina Sued
Nkwabi na Jamhuri Kiwhelo 'Julio'.
Aveva amemshinda Tupa kwa
idadi kubwa ya kura katika
uchaguzi uliofanyika leo kwenye
Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa
Polisi Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Mara baada ya Aveva
kutangazwa mshindi, cheleko
kutoka kwa wafuasi wake
zilianza.
Sunday, 29 June 2014
BREAKING NEWS..Huyu ndiye rais wa kwanza wa simba sports club na makamu wake waliochaguliwa hivi punde..
Saturday, 28 June 2014
Wimbo mpya wa Ben Pol waleta mtafaruku kati ya Adam Mchomvu na Fetty
SALIM KIKEKE KUTOKA BBC LONDON,,KING MAJUTO,,ELIZABETH MICHAEL(LULU) MILLARD AYO NA WENGINE WENGI WATAMBA KATIKA TUZO ZA WATU WANAOPENDWA...JIONEE JINSI TUZO ZILIVYOTOLEWA.
Friday, 27 June 2014
DAALAL: AVEVA NDIYE KIBOKO YA YANGA, MPENI SIMBA SC MLE RAHA
Dalali amewaambia wanachama wa Simba Wilaya ya Kinondoni waliohudhuria katika mkutano wa kampeni uliofanyika jioni hii kwenye ukumbi wa Urafiki Hall, Ubungo.
Alisema kuwa wanachama wakimchagua Aveva basi watafurahi msimu mzima kama mgombea huyo alipokuwa anaongoza kamati ya usajili ya klabu hiyo.
Mzee Daalal amewomba wana Simba wamchague Aveva |
Huu ni mwisho wa Dunia zaidi ya ndoa 115 za jinsia moja zafungishwa kwa wakati mmoja angalia hapa Picha&video
LUKE SHAW AKAMILISHA MANUNITED NA KUKABIDHIWA UZI,AHAKIKISHIWA KUMUWEKABENCHI EVRA
Thursday, 26 June 2014
HERRERA ATUA MAN UNITED, AKABIDHIWA JEZI
KIUNGO Ander Herrera amekamilisha uhamisho
wa Pauni Milioni 29 kwenda Manchester United
akitokea Athletic Bilbao.
Klabu hiyo ya La Liga ilikataa ofa ya timu hiyo
ya kocha Louis van Gaal, lakini baada ya
mchezaji huyo kufuzu vipimo vya afya Carrington
jana, dili hilo limekamilishwa.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 sasa
anakuwa mchezaji wa kwanza kabisa kusajiliwa
na Man United chini ya kocha mpya, van Gaal
aliyerithi mikoba ya David Moyes Old Trafford.
Wednesday, 25 June 2014
NGASSA AULA AFRIKA KUSINI, FREE STATE STARS WAFIKA BEI, WAHAHA KUMNG’OA YANGA SC
Tuesday, 24 June 2014
Shilingi Mil 60 Kumaliza Mgogoro wa Flora Mbasha, Vikao Vyafanyika Siku Tatu, Flora Akataa Ndoa Mara Tano.
Kilichojiri kwenye mechi za Ivory Coast vs Ugiriki na Japan vs Colombia
Matumaini ya bara la Afrika kuingiza timu kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la dunia yameanza kupotea.
Wakicheza mchezo wao muhimu na wa mwisho, Ivory Coast ilikubali kipigo kutoka kwa Ugiriki katika mchezo ulioisha kwa kufungwa 2-1.
Uamuzi wa kocha wa Italy baada ya timu yake kutolewa kombe la dunia – huu hapa
Muda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.
Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.
Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.
HIVI NDIVYO SUAREZ ALIVYOMFANYA BEKI WA ITALIA KWA KUMPIGA JINO BEGANI, FIFA KUMPA ADHABU KALI
UMEME WAKATIKA MAENEO MENGI NCHINI WAKATI WABUNGE WAKIPIGA KURA KUIPITISHA BAJETI KUU YA SERIKALI
Kitendo cha umeme kukatika maeneo mengi nchini Tanzania wakati wabunge wakipiga kura kuipitisha bajeti kuu fedha yaserilali ya mwaka 2014/2015.
Je ?? Kuna nini kimejificha hapo Na mpaka matangazo ya Tbc 1 Kule bungeni yamekatika...Hii ndio Tanzania yetu
Monday, 23 June 2014
KIPRE TCHETCHE ‘ALIVYOTUA YANGA LEO’...
MSHAMBULIAJI Kipre Herman Tchetche leo amezima uzushi kwamba yuko kwenye mpango wa kuhamia Yanga SC, baada ya kuibukia kwenye mazoezi ya timu yake, Azam FC.
Nyota huyo kutoka Ivory Coast aliwasili jana Dar es Salaam kutoka kwao Abidjan alipokwenda kwa mapumziko baada ya msimu na asubuhi ya leo akaibuka mazoezini Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Friday, 20 June 2014
IVORY COAST WASHUSHA PUMZI SARE UGIRIKI NA JAPAN, ILA LAZIMA WASHINDE MECHI YA MWISHO
ZIARA YA AFRIKA NUSU IMTOE MACHOZI MOURINHO, ATOA MANENO HAYO YA KUCHOMA MOYO KABISA
Ukweli Kuhusu Tetesi za Lady Jay Dee Kuomba Msamaha kwa Ruge wa Clouds FM
Denial a rumors that she apology Ruge Mutahaba….. These fiction was written on Gazeti la Udaku…. Today On her Instagram account she posted the Gazeti font page pic and she wrote
Thursday, 19 June 2014
Marekani yaiwekea vikwazo Uganda
Mzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?
Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuoangea?
LICHA YA BABA YAKE KUFARIKI SAA MBILI KABLA YA MECHI NA COLOMBIA, KIUNGO IVORY COAST AONYESHA UZALENDO WA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA
Wednesday, 18 June 2014
Lowasa Atangaza Neema Kwa Vijana
MARADONA ACHAMBUA KOMBE LA DUNIA, ASEMA "MULLER HANA MISULI, PEPE 'BWEGE BWEGE' NA HISPANIA BADO INA NAFASI, RONALDO ABADILISHE UCHEZAJI"
MPYA KABISA.. RATIBA YA MECHI ZA EPL MSIMU WA 2014/2015..JUA HAPA TIMU YQKO ITAANZA NA TIMU GANI
Mechi za kwanza katika wiki ya Agosti 16
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham Unit
Mechi za kwanza katika wiki ya Agosti 16
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham Unit
Monday, 16 June 2014
HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA URENO..RONALDO YUKO FITI KUWAVAA UJERUMANI LEO.
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo
amesema kwamba yuko fiti kuwakabili Ujerumani
katika mchezo wa kwanza wa Kundi G Kombe la
Duani leo.
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid amekuwa
akisumbuliwa na matatizo ya goti lakini
amesema yupo tayari kwa mchezo wa leo mjini
Salvador.
"Wazi, ningeopenda kuwa fiti kwa asilimia 110-
nipo fiti kwa asilimia 100 na hiyo inatosha
kuisaidia timu ya taifa. Nimekuwa nikifanya
mazoezi kwa siku nyingi na ninajisikia vizuri.
Haujawahi kutokea wakati katika maisha yangu
ya soka nikacheza bila kuwa na maumivu, huo ni
mzigo,"’
Sunday, 15 June 2014
MESSI AING'ARISHA ARGENTINA IKIUA 2-1 KWA MBINDE KOMBE LA DUNIA
ARGENTINA imeanza vyema Kombe la Dunia
baada ya usiku huu kuilaza Bosnia-Herzegovina
mabao 2-1 katika mchezo wa Kundi Kombe la
Dunia Uwanja wa Maracana mjini Rio de
Janeiro, Brazil.
Shukrani kwake Mwanasoka bora wa zamani wa
dunia, mshambuliaji wa Barcelona ya Hispania,
Lionel Messi aliyefunga bao la pili la Argentina
dakika ya 65 akimalizia pasi ya Gonzalo Higuain.
Sead Kolasinac aijifunga dakika ya tatu katika
harakati za kuokoa kuipatia Argentina bao la
kwanza kabla ya Vedad Ibisevic kutumia pasi ya
Senad Lulic kuisawazishia Bosnia dakika ya 84.
Kikosi cha Argentina kilikuwa; Romero,
Campagnaro/Gago dk45, Fernandez, Garay,
Zabaleta, Maxi Rodriguez/Higuain dk45,
Mascherano, Di Maria, Rojo, Messi na Aguero/
Biglia dk86.
Bosnia-Herzegovina; Begovic, Mujdza/Ibisevic
dk70, Bicakcic, Spahic, Kolasinac, Besic,
Hajrovic/Visca dk72, Pjanic, Misimovic/
Medunjanin dk74, Lulic na Dzeko.
BENZEMA APIGA MBILI UFARANSA IKIUA 3-0 KOMBE LA DUNIA
SHERIA ya teknolojia langoni hatimaye leo
imetumika kikamilifu kumaliza utata wa bao
Ufaransa ikiitandika mabao 3-0 Honduras katika
mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia. Karim
Benzema amefunga mabao mawili mjini Porto
Alegre dakika za 45 kwa penalti na 72, wakati
bao lingine Noel Valladares alijifunga dakika ya
48 na kulazimika sheria ya teknolojia kwenye
mstari wa goli kutumika ili kuhakikisha kama
lilikuwa bao halali.
Wilson Palacios wa Honduras alionyeshwa kadi
ya pili ya njano na kuwa nyekundu baada ya
kumsukuma Paul Pogba kwenye boksi na
Benzema akafungwa kwa penalti.
Kikosi cha Ufaransa kilikuwa; Lloris, Debuchy,
Varane, Sakho, Evra, Pogba/Sissoko dk57,
Cabaye/Mavuba dk65, Matuidi, Valbuena/Giroud
dk78, Benzema na Griezmann.
Honduras: Valladares, Beckeles, Bernardez/
Osman Chavez dk46, Figueroa, Izaguirre, Najar/
Claros dk58, Wilson Palacios, Garrido, Espinoza,
Bengtson/Boniek Garcia dk46 na Costly.
RATIBA KAMILI YA KOMBE LA DUNIA KWA MECHI ZINAZOENDELEA KWA SAA ZA AFRICA MASHARIKI
Fixtures
G June 16 19:00 Germany vs Portugal ? - ?
F June 16 22:00 Iran vs Nigeria ? - ?
G June 17 01:00 Ghana vs USA ? - ?
H June 17 19:00 Belgium vs Algeria ? - ?
A June 17 22:00 Brazil vs Mexico ? - ?
H June 18 01:00 Russia vs South Korea ? - ?
B June 18 19:00 Australia vs Netherlands ? - ?
B June 18 22:00 Spain vs Chile ? - ?
A June 19 01:00 Cameroon vs Croatia ? - ?
C June 19 19:00 Colombia vs Ivory Coast ? - ?
D June 19 22:00 Uruguay vs England ? - ?
C June 20 01:00 Japan vs Greece ? - ?
D June 20 19:00 Italy vs Costa Rica ? - ?
E June 20 22:00 Switzerland vs France ? - ?
E June 21 01:00 Honduras vs Ecuador ? - ?
F June 21 19:00 Argentina vs Iran ? - ?
G June 21 22:00 Germany vs Ghana ? - ?
F June 22 01:00 Nigeria vs Bosnia-Herzegovina ? - ?
H June 22 19:00 Belgium vs Russia ? - ?
H June 22 22:00 South Korea vs Algeria ? - ?
G June 23 01:00 USA vs Portugal ? - ?
B June 23 19:00 Australia vs Spain ? - ?
B June 23 19:00 Netherlands vs Chile ? - ?
A June 23 23:00 Cameroon vs Brazil ? - ?
A June 23 23:00 Croatia vs Mexico ? - ?
D June 24 19:00 Costa Rica vs England ? - ?
D June 24 19:00 Italy vs Uruguay ? - ?
C June 24 23:00 Greece vs Ivory Coast ? - ?
C June 24 23:00 Japan vs Colombia ? - ?
F June 25 19:00 Bosnia-Herzegovina vs Iran ? - ?
F June 25 19:00 Nigeria vs Argentina ? - ?
E June 25 23:00 Ecuador vs France ? - ?
E June 25 23:00 Honduras vs Switzerland ? - ?
G June 26 19:00 Portugal vs Ghana ? - ?
G June 26 19:00 USA vs Germany ? - ?
H June 26 23:00 Algeria vs Russia ? - ?
H June 26 23:00 South Korea vs Belgium ? - ?
R16 June 28 19:00 1A vs 2B ? - ?
R16 June 28 23:00 1C vs 2D ? - ?
R16 June 29 19:00 1B vs 2A ? - ?
R16 June 29 23:00 1D vs 2C ? - ?
R16 June 30 19:00 1E vs 2F ? - ?
R16 June 30 23:00 1G vs 2H ? - ?
R16 July 1 19:00 1F vs 2E ? - ?
R16 July 1 23:00 1H vs 2G ? - ?
QF1 July 4 19:00 Winner 1E/2F vs Winner 1G/2H ? - ?
QF2 July 4 23:00 Winner 1A/2B vs Winner 1C/2D ? - ?
QF3 July 5 19:00 Winner 1F/2E vs Winner 1H/2G ? - ?
QF4 July 5 23:00 Winner 1B/2A vs Winner 1D/2C ? - ?
SF1 July 8 23:00 Winner QF 1 vs Winner QF 2 ? - ?
SF2 July 9 23:00 Winner QF 3 vs Winner QF 4 ? - ?
3rd July 12 23:00 Loser SF 1 vs Loser SF 2 ? - ?
Fn July 13 22:00 Winner SF 1 vs Winner SF 2 ? - ?
Fn Final
3rd Third place play-off
SF Semi-finals
QF Quarter-finals
R16 Round of last 16
WEMA Anasa Mimba ya DIAMOND…Diamond Apagawa Kwa Furaha
‘Beautiful Onyinye’ na kipenzi cha Diamond,
Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya
misukosuko ya muda mrefu ikiwemo
kuporwa na wasichana wenzake penzi lake
la Diamond, sasa Wema amepata kile
alichokuwa akikililia kwa muda mrefu….
Chanzo cha habari hii kutoka kwa marafiki
wa Diamond kimedai kuwa Wema amenasa
ujauzito na kugundulika hivyo walipokuwa
Afrika Kusini kwenye tuzo za MTV-MAMA
na kumfanya Diamond achanganyikiwe kwa
furaha….
Kwa mujibu wa chanzo hicho, inadaiwa kuwa
Diamond kwa sasa kawa kama mtu
aliyepagawa kwa furaha kutokana na taarifa
hizo njema na tayari ameshaanza maandalizi
ya kijacho chake….
Kugundulika kwa ujauzito wa Wema ni
baada ya kuanza kujisikia vibaya
walipokuwa Afrika Kusini ikiwemo
kichefuchefu na kizunguzungu alipokuwa
hotelini alipofikia na kulazimika kwenda
hospitali kwa uchunguzi zaidi….
Inasemekana kuwa Wema alisindikizwa na
Aunt Ezekiel kwenda hospitalini waliyekuwa
naye huko Afrika Kusini kumpa sapoti
Diamond na madaktari ndiyo waliomjuza
kuwa anakiumbe tumboni cha wiki 7
Taarifa za madaktari hao zilimfanya Wema
awe kama mwehu aliyepagawa na kurudi
hotelini kwa mumewe Diamond huku akiwa
na tabasamu ambalo hapo awali Diamond
hakuwahi kuliona….
Inasemekana kuwa mpaka sasa siyo
Diamond wala Wema aliyewaambia
MALINZI ASIMAMISHA UCHAGUZI SIMBA SC
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF)
limesimamisha mchakato wa uchaguzi wa klabu
ya Simba SC hadi hapo klabu hiyo itakapounda
Kamati ya Maadili ambayo itasikiliza masuala ya
kimaadili kuelekea uchaguzi huo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari makao
makuu ya TFF, katikati ya Jiji la Dar es Salaam
mchana wa leo, rais wa TFF, Jamal Emil Malinzi
amesema kwamba Simba SC inatakiwa kuwa
imekwishaunda Kamati ya Maadili hadi kufika
Juni 30, mwaka huu.
Malinzi amesema kwamba hatua hiyo imefuatia
TFF kupokea malalamiko mengi juu ya ukiukwaji
wa maadili kwa baadhi ya wagombea na
wanachama wa klabu hiyo.
Malinzi amesema kwamba baada ya kuundwa
kwa Kamati hiyo Maadili itasikiliza malalamiko
yote ya kimaadili yanayougubika mchakato wa
udhaguzi huo, ambao awali ulipangwa kufanyika
Juni 29, mwaka huu.
Malinzi amesema kwamba kwa sasa Kamati ya
Utendaji ya Simba SC iliyopo madarakani chini
ya Mwenyeiiti wake, Alhaj Ismail Aden Rage
itaendelea kuiongoza klabu hiyo hadi hapo
mchakato wa uchaguzi utakapokamilika.
RAGE: TUMEPATA FEDHA ZA KUJENGA UWANJA, NATAKA KUWEKA REKODI SIMBA, NAACHA MILIONI 300 ZA USAJILI, KABLA SIJAONDOKA NAJENGA GHOROFA MOJA YA HOSTELI BUNJU
UCHAGUZI ni habari kubwa
kwasasa katika klabu ya
Simba, lakini kuna maisha
mengine yanaendelea ikiwemo
utekelezaji wa mpango wa
kujenga uwanja wa kisasa
katika eneo la Bunju, jijini Dar
es salaam.
Mtandao huu jana iliripoti
kuwa uongozi wa Simba sc
umepelekea magereda na
malori ambayo kwa kutwa
nzima yalikuwa yanafanya kazi
ya kuondoa udongo mweusi
uliopo eneo hilo na kuweka
udongo mpya utakaofaa
kuotesha nyasi za uwanja.
Jitihada za kuwatafuta
viongozi wa Simba zilifanywa
ili kupata ufafanuzi juu ya
suala hilo na mtandao huu
umejitahidi kumtafuta rais wa
Simba anayemaliza muda
wake, Ismail Aden Rage ili
kutoa ufafanuzi wa zoezi hilo
na pesa zimepatikana wapi
wakati huu Simba ikitarajia
kufanya uchaguzi juni 29
mwaka huu.
Kuna watu walihusianisha
mpango huo na kampeni
kuelekea uchaguzi. Kuna
wagombea fulani (majina
tunayo) walikuwa
wanahusishwa na kutoa fedha
hizo ili kujisafishia njia, lakini
halikuwa jibu sahihi na ikabidi
Rage asakwe ili atoe maelezo.
Katika mahojiano yake na
mtandao huu, Rage amesema
sasa wameshaanza mambo
baada ya kupata fedha mahali
fulani (hakutaka kutaja) na
suala la wanachama kwenda
na majembe, mapanga
wameacha.
“Uko katika hatua nzuri kuna
kitu ambacho wataalamu wa
udongo wanaita, wametoa ule
udongo mweusi, wameanza
kuweka udongo ambao utafaa
kupandia nyasi za uwanja”.
Alisema Rage.
‘Na kama unakumbuka mara
ya kwanza tulipoanza
kukarabati au kuujenga,
tuliwaomba wanachama,
wakaenda na mapanga na
majembe.”
“Sasa tumeacha, kwasababu
tulipata pesa mahali fulani,
sasa kuna magereda na malori
yanafanya kazi ya kutoa huo
mchanga ambao haufai na
kuweka mchanga unaofaa kwa
kuotesha nyasi”. Aliongeza
Rage.
Rais huyo aliyekuwa na
mvutano mkali na wanachama
wa Simba pamoja na viongozi
wenzake wakati wa uongozi
wake alisema ndani ya siku
chache zijazo watawakaribisha
waandishi wa habari ili
wakapige picha, waone uwanja
ulivyokuwa mzuri,
ulivyopendaze na hatua nzuri
ambazo wanazo.
Hata hivyo, Rage alisema
wamechoshwa na kutumia
gharama kubwa za kuweka
kambi Hotelini, hivyo anataka
kujenga Hosteli za wachezaji
kabla hajakabidhi madaraka
kwa uongozi mpya.
“Lakini ninafanya vilevile
mpango, kwasababu tunatumia
gharama nyingi sana
kuwaweka wachezaji wetu
Hotelini wakati tunapofanya
kambi”.
“kwasababu eneo hilo ni zuri,
tunataka ikiwezekana kabla
sijaondoka, angalau nipate
michoro au niweze kuweka
msingi au ghorofa moja
ikibidi, tujenge hosteli katika
muda huu mfupi uliobaki”.
Alisema Rage.
Kuhusu usajili, Rage alisema
anataka kuweka rekodi
ambayo haijawahi kutokea
Simba ambapo atawaachia
viongozi wajao kitita kirefu
cha pesa, si chini ya milioni
300 kwa ajili ya usajili.
“Sasa hiyo nawaachia viongozi
wajao ambao ninakusudia
kuweka rekodi ambayo
haijatokea Simba tangu miaka
yote, kwa maana ya kwamba
nitakapoondoka mimi
nitawaachia pesa za wao
kufanya usajili si chini ya
milioni 300 watazikuta pale
klabu”.
“Sivyo kama mimi nilipoingia
sikukuta hata shilingi moja
nilikuta madeni basi, hiyo
ndiyo nataka niweke tofauti
yangu mimi ambaye
ninaithamini klabu yangu hii”.
Alieleza Rage.
Nako upande wa pili,
mwenyekiti wa klabu hiyo,
Yusuf Manji ameongezewa
muda wa mwaka mmoja na
wanachama wa Yanga ili
kukamilisha baadhi ya ahadi
zake ikiwemo ujenzi wa uwanja
wa kisasa maeneo ya
Jangwani.
Hatua za Simba zinaweza
kumshitua na akaongeza kasi.
Simba na Yanga ni klabu
kongwe ambazo hazina hata
uwanja wa mazoezi.
Azam fc ni klabu pekee yenye
uwanja wake wenye ubora wa
kimataifa uliopo Mbande,
chamazi, nje kidogo ya jiji la
Dar es salaam.
Mbeya City fc ambao
wameshiriki kwa mara ya
kwanza ligi kuu msimu
uliopita, wana mpango wa
kujenga uwanja wao maeneo
ya Iwambi jijini Mbeya.
Thursday, 12 June 2014
RONALDO AUMIA TENA LEO, ALIFANYA MAZOEZI DAKIKA 20 TU HALAFU...
Waganga wa Kutibu Kwa Kutumia Ngono na Nguo za Ndani Wakamatwa Temeke
Mazito Yaibuka Siku 14 George Tyson Bado Hajazikwa
MMILIKI WA BLOGG HII ATABIRI BRAZIL KUSHIND 3 kwa 1..NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUA NEYMAR ALIPOANZA KWA KASI.
Mwanzo mzuri; Neymar amefunga mabao mawili Brazil ikishinda 3-1 dhidi ya Croatia usiku huu |
Wednesday, 11 June 2014
Jennifer Lopez kutumbuiza katika ufunguzi Kombe La Dunia Brazil kesho
Ufunguzi rasmi wa fainali za kombe la dunia nchini Brazil unatarajiwa kufanyika kesho Alhamisi (June 12),
MDADA ALIYEONEKANA KATIKA PICHA NA KOMBA AFUNGUKA, AZIMIA...MCHEKI HAPA
RONALDO AITUMIA SALAMU DUNIA NZIMA "NIMERUDI", APIGA BONGE LA SOKA JANA URENO IKIUA 5-2
Monday, 9 June 2014
BAADA YA DIAMOND KUKOSA TUZO: INSTAGRAM KWA CHAFUKA.....DIVA AJITOA TEAM WEMA!!
HATIMAYE CAMEROON WAENDA BRAZIL BAADA YA MZOZO WA POSHO KUINGILIWA KATI NA SERIKALI
Friday, 6 June 2014
KUTANA NA KIATU CHA OMMY DIMPOZ KICHOSEMEKANA KIMETENGENEZWA KWA DHAHABU!!
Wazungu waleta kitu kipya..Hiki ndichokipindi cha TV kinachoonyesha Wanawake wanaojifungulia porini.
Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua porini bila msaada wa madaktari wakati wa hatua zote za kujifungua lakini pia hawatakuwa na malazi yoyote katika eneo hilo.
Huyu ndiye Chatu wa ajabu aliyeuwawa Arusha Mchana wa June 05,kuna picha zake 5 hapa.
Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye alikua akiishi karibu na bwawa maeneo ya Kinondoni block 41 na ni baada ya kuchoshwa nae wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba hapa kuna stori ya Chatu aliyeuwawa Arusha.
HILI NDILO BONGE LA DILI ALILOPEWA DIAMOND NA RAIS JK,,,SASA KUJULIKANA ZAIDI DUNIANI KAMA P,SQUAER.
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anatajwa rais pekee anayetoa sapoti kwa wasanii ambapo safari hii amempa ulaji staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Sintah Ampa Pole Capt. Komba Kwa Kuchafuliwa na Picha Fake
HIVI NDIVYO STAA BALOTELLI ALIVYOTUA NDANI YA RIO..ILE KISEEELA!
TAIFA STARS YA MART NOOIJ KUINGIA KAMBINI JUNI 11
Thursday, 5 June 2014
HUYU NDIYE KIJANA ALIYEPOTEA KWA MAZINGIRA YA KUTATANISHA,,APATIKANA AKIWA KATIKA HALI YA KUTISHA.
Wednesday, 4 June 2014
Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Shilole na Ney wa mitego walipotajwa bungeni.
Kutoka Dodoma kabla ya kujadiliwa kwa bajeti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii ilianza sehemu ya maswali na majibu kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne.