MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake.
Akipia stori
na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume
ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na
awe na nidhamu kwa wazazi wake.
“Sifa ya
mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume
asiyependa kutafuta, awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au
familia yake na pia ajue kunibembeleza,’’ alisema Jokat
No comments:
Post a Comment