Tuesday, 6 May 2014

Msanii Bongo Movie"Rafiki Yangu Ndio Alinichomesha Nikafumaniwa na Boyfriend Wangu


Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu aliyekamilika" Alisema Amina

No comments:

Post a Comment