Monday, 5 May 2014

ALIYEKUA MGANGA WA DIAMOND AUMBUKA NA UTTAPELI WAKE


Yule Mganga alioteka vyombo vya habari kwa kusema yeye ndio amempa diamond umaarufu na kwa kuwa diamond amemkana hivyo hatokuja kupata tuzo tena maishani mwake na Ndio mwisho wa Music wake Ameonekana Tapeli wa Kutupwa

Watu wengi walimuamini yule mganga tapeli na wakasema ndio mwisho wa diamond kimuziki.

Diamond amezibitisha utapeli wa huyo mganga kwa kuchukua tuzo Saba katika Tuzo za KTMA zilizofanyika Juzi.
Siri ya diamond ni kupiga kazi nzuri, menejimenti nzuri bila kusahau wema sepetu na diamond amekiri ilo...

No comments:

Post a Comment