KOCHA GIGGS ALIPOINGIA MZIGONI MWENYEWE JANA .ALIA NA MWAMUZI KUNYIMWA PENATI.
+16
Anaingia
kazini: Kocha mchezaji, Ryan Giggs akiingia kumpokea kinda Tom Lawrence
katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Hull City, ambao
timu yake ilishinda mabao 3-1
+16
Mtaalamu: Kocha mchezaji, Ryan Giggs akicheza jana
Kocha Giggs akilalamikia kunyimwa penalti na refa, baada ya shuti lake kuzuiliwa kwa mkono
No comments:
Post a Comment