Thursday, 29 May 2014

MWILI WA RACHEL HAULE WAAGWA LEO HII, IRENE UWOYA AZIMIA. PICHA HIZI HAPA

Mwili wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika simanzi kubwa huku Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa kuondokewa na msanii mwenzao. Angalia picha zikionyesha matukio ya mwili wa Rachel tangu akitolewa Muhimbili, kupelekwa Sinza na Leaders..........

Picha: Irene Uwoya Azama Kwenye Penzi la Dancer wa THT, Msami


Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy

Rais Goodluck atangaza vita vikali

Wasichana wamekuwa wakizuiliwa na Boko Haram kwa wiki saba sasa

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameagiza kufanywa oparesheni kali zaidi ili kudhibiti alichokiita mauaji ya kiholela yanayofanywa na magaidi.

Exclusive picha 5 za harusi ya Kanye West na Kim Kardashian zilizotolewa na E News

Kanye West na kim Kardashian wameachia picha za harusi yao iliyoripotiwa kufanyika siku ya jumamosi , May 24 2014, Florence Italy.
Pastor Rich Wilkerson Jr kutoka Northa Miami ameripotiwa kuwafungisha ndoa wawili hao.

Wednesday, 28 May 2014

Baada ya kushinda taji la ligi ya mabingwa wa Ulaya, Ream Madrid waingia studio kurecord wimbo..JIONEE HII VIDEO

Mwanaume Mchumba wa Vicky Kamata kumbe ni Tapeli Alishawatapeli Wadada Wengine Wawili

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:

"Le Mutuz leo nilienda kumtembelea Mheshimiwa Mbunge Vicky Kamata, Nyumbani kwake Sinza Kijiweni she is fine and doing great baada ya kukutwa na mkasa mzito wa kukutana na

ALICHOKIFANYA RAIS OBAMA HAKUNA RAIS MWINGINE ANAEWEZA KUJARIBU..JIONEE HII VIDEO


 Hivi karibuni Raisi mwenye guvu zaidi duniani na maadui wengi kuliko maraisi wote Barack Obama aliamua kutembea mtaani kama raia wa kawaida. Alionekana akicheka, kusalimia watu na

LEO NI KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TOKA ALBERT MANGWEA AFARIKI.


ngweaIlikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuamini kama ni kweli Mangwea kafariki dunia,zilianza taratibu za kuthibitisha taarifa hizi ambapo baadae ilithibitika kweli Mangwea amefariki dunia.

KIPRE TCHETCHE MCHEZAJI BORA TANZANIA, CASILASS WA MTIBWA NDIYE KIPA BORA

MSHAMBULIAJI wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2013-2014 akiwapiku Anthony Matogolo wa Mbeya City na Lugano Mwangama wa Prisons.
Kwa ushindi huo, Kipre amezawadiwa kitita cha Sh. Milioni 5.2.
Aidha, kipa wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Hussein Sharrif ‘Cassilas’ ameshinda tuzo ya mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwapiku David Burhan wa Mbeya City na Beno Kakolanya wa Prisons.
Meneja wa Azam FC, Jemadari Said akipokea tuzo ya Kipre Tchetche kutoka kwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi kulia usiku huu katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Golden Jubilee Tower katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Mwingine kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, wadhamini wa Ligi Kuu.

Habari ya Mume wa Mwimbaji Maarufu wa Injili Kumbaka Shemeji Yake..Je ni Nani?

Leo Gazeti Maarufu la Mwananchi wamechapisha habari kuhusu mume wa Mwimbaji maarufu wa music wa Dini ama Injili kumbaka mara tatu mdogo wa Mke wake ambae ana miaka 17 lakini wamesita kutoa jina la Mwanamuziki huyo Maarufu , Haya wadau wenye kujua Ukweli kuhusu Mwanamuziki huyo ni nani fungukeni hapa kwenye Comments

Tuesday, 27 May 2014

WANADINGA `SAMBA BOYS` HAWANA `GONJWA` LOLOTE`, KUKINUKISHA KOMBE LA DUNIA JUNI 12


Open wide: David Luiz undergoing a medical check-up at the squad's Granja Comary training complex

JACKLINE WOLPER AZUNGUMZA YOTE KUHUSU YEYE NA NEY WAMITEGO SOMA HAPA KUJUA ALICHOSEMA


Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source. 

LIVE KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA WA RACHEL WA BONGO MOVIE {PICHA}

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo.
Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha mkewe. Picha kwa hisani ya GPL

Monday, 26 May 2014

MBEYA CITY FC YAKUBALI KIPIGO CHA 2-1 KUTOKA KWA AFC LEOPARD MJINI KHARTOUM

DSCF5413Na Baraka Mpenja, Dar es salaam TAARIFA kutoka mjini Khartoum nchini Sudani usiku huu ni kwamba wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CECAFA

VAN GAAL AIFUMUA LISTI YA USAJILI MAN UNITED NA KUWAPIGA CHINI FABREGAS, KROOS...ATAKA WAHOLANZI KIBAO NA SCHWEINSTEIGER

KOCHA mpya wa Manchester United, Louis van Gaal amewaondoa Cesc Fabregas na Toni Kroos katika orodha ya wachezaji anaotaka kuwasajii msimu ujao na kuelekeza nguvu zake kwa wachezaji wengine  akiwemo mpachika mabao wa Bayern Munich, Bastian Schweinsteiger.
Mholanzi huyo amesema kwamba, ana matumaini kocha wa Munich, Pep Guardiola atakuwa tayari kusikiliza ofa ya Pauni Milioni 10 kwa ajili ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29.
Schweinsteiger, ambaye jina lake lilitajwa pia wakati wa David Moyes akiwa kazini United, pia ana nia ya kwenda kukabiliana na changamoto mpya.
Ana mipango yake mwenyewe: Louis van Gaal amewatambulisha wachezaji kadhaa wa kusajiliwa atakapoanza kazi

Thursday, 22 May 2014

LUIS SUAREZ APASULIWA GOTI, YAELEZWA ATAPONA MAPEMA NA KUWAHI KOMBE LA DUNIA BADO BICHI KUANZIA MECHI NA ENGLAND


RATIBA YA URUGUAY

Juni 14: Vs Costa Rica, Saa 2:00 Usiku, Uwanja wa Castelao
Juni 19: Vs England, Saa 2:00 Usiku, Uwanja wa Sao Paulo
Juni 24: Vs Italia, Saa 11:00 Jioni, Uwanja wa Das Dunas
MSHAMBULIAJI Luis Suarez amefanyiwa upasuaji wa goti  na anatarajiwa kupona ndani ya muds na kucheza Fainali za Kombe la Duni, amesema mama yake. 
Sandra Diaz amesema upasuaji umefanyika kwa mafanikio na mwanawe anatarajiwa kupona ndani ya wiki tatu, ambayo inamaanisha atauwahi mchezo dhidi ya England Juni 19, mwaka huu.  
Mambo yameenda vizuri: Luis Suarez amefanyiwa upasuaji leo na anaweza kuziwahi Fainali za Kombe la Dunia kuanzia mchezo dhidi ya England

TAZAMA HAPA PICHA KUMI ZA BAADHI YA WATANGAZAJI NA MODELS WAKIWA WAMEVALIA T-SHIRT ZA INFO IS HOT.



Mariam michael mwenye kofia&godlisten&glory

VAN GAAL AWAELEKEZA MAN UNITED WACHEZAJI WA KUSAJILI, WAHOLANZI KIBAO KUTUA OLD TRAFORD

VAN GAAL AWAELEKEZA MAN UNITED 

KOCHA wa Manchester United, Louis Van Gaal ameiagiza klabu hiyo kuelekeza nguvu katika usajili wa wachezaji wa nafasi za ulinzi na kiungo.
Wakati tetesi zinasema wamewaweka kwenye mipango ya kuwasajili Arjen Robben na Edinson Cavani, Van Gaal anatumai uhamisho wa Luke Shaw unaohitaji Pauni Milioni 27 utakamilishwa. 
Pamoja na hayo, was aka vipaji wa klabu wameelekeza jicho lao katika timu ya taifa ya Uholanzi lusaka wachezaji wa kusajili.
Kifaa cha Khiolanzi: Louis van Gaal anammulika beki wa Uholanzi, Daryl Janmaat (kushoto) kwa ajili ya kumchukua Manchester United

BALAA LINGINE LAMKUTA MOYES MWEZI MMOJA TANGU ATIMULIWE MAN UNITED, SASA ADAIWA KUMDHALILISHA 'DOGO' BAA

ALIYEKUWA kocha wa Manchester United, David Moyes anachunguzwa na Polisi kwa tuhuma za kijana wa kiume baa.

Tukio hilo baina ya Moyes, mwenye umri wa miaka 51 na kijana wa miaka 23 inaelezwa lilitokea Clitheroe, Lancashire, majira ya Saa 4:00 usiku Jumatano.
Anachunguzwa: Moyes alikuwa katika baa Clitheroe wakati ambao anadaiwa kudhalilisha

MASHINDANO YA MAGARI NJIRO ARUSHA YAUWA WATOTO KADHAA WALIOKUWA WAKIYATAZAMA MUDA HUU !!VIDEO NZIMA IPO HAPA BOFYA KUTAZAMA



Duh mzezo wa mashindano yamagari umekuwa sio mchezo tena huko pande za  Njiro 
tazama video hio apo chini kuona jinsi gari lilivyo uwa watu zaidi ya watatu  nakufinyanga watoto
kama udongo.

Wednesday, 21 May 2014

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI...!! SOMA HAPA KUFAHAMU


Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna
faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi
tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta
madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya
mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa
kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku
anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu
hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya
kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande
mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa
watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza
hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu
wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine
mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika
tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni
vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza
miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila
tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na
chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
Twende pamoja katika kutazama madhara hayo
kwa kina.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO.
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza
haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao
kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza
kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa
mara kwa mara.
Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za
kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko
hata anapomuona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi
kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara
kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na
pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba
kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya
mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake
na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama
hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA.
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara
huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na
kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa
kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila
kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu
mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa
chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa
wakati gani?
Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi
mara kwa mara ndiyo wale ambao kila
wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali
hadhi yake.
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata
kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na
watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa
zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi.
Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa
mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa
yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani
kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.
KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO.
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa
kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya
mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya
mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko
wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo
haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa
mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!
KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI.
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa
kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na
kupoteza nguvu nyingi za mwili.
Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume
huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya
mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa
wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha
kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka
kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa
mara huwa dhaifu.
KUPATA MAGONJWA.
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya
mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na
hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo
huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa
ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi
usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa
wanawake huwafanya waishiwe msisimko na
kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute
unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa
kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko
itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya
magonjwa ya zinaa ukiwemo

Aunt Ezekiel akumbuka kichapo cha marehemu kuambiana

WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa na Kuambiana yeye na Wema, wiki chache zilizopita.

FAINALI YA UEFA YAMPELEKA DIEGO COSTA NCHINI SERBIA KUTIBIWA NA MGANGA WA KIENYEJI

SOS: Diego Costa in Belgrade, where he is to see the controversial 'placenta doctor' in a bid to recover

Tuesday, 20 May 2014

Nyoka Atoka Kwenye Begi La Mtu Akiwa Kwenye DalaDala, Watu Hoii...Cheki Hapa

Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake.
Mzee mmoja wa kiswahili kando yake akaanza kuangalia dogo anaandika nini.

HII NDIO VIDEO YA Mwasiti - Serebuka. ,,AMBATO IMELETA SITOFAHAMU BAADA YA LINAH KUBUSU PICHA YA AMINI.

Video Mpya ya Mwasiti “Serebuka” ilivyosababisha Gumzo Kubwa Kuhusu Linah na Amini

 Ikiwa mwasiti ndio ametambulisha rasmi video yake hii ya Serebuka, inayosifiwa na kila mtu jijini kwa jinsi ilivyokuwa na utofauti, uliotokea kutokana na idea iliyotumika katika kufanyika kwa video hiyo kali ya serebuka, mbali na uzuri wa video hiyo mengi yameanza kuongelewa haswa kutokana na Linah akionekana kubusu picha ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Amini, huku watu kujiuliza ni nini haswa kinaendelea au ndio kuserebuka kwenyewe.

Alichosema kocha mpya wa Man United kuhusu Mourinho kumuonea wivu

article-2633169-1E05E92000000578-923_636x454
Masaa takribani 24 tangu alipotangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United, Louis van Gaal amefunguka na kusema mwanafunzi wake na msaidizi wake wa zamani kwenye klabu ya FC Barcelona Jose Mourinho ndio alikuwa mtu wa kwanza kumpongeza kwa kupata Old Trafford.

Hii Ndio List Ya Wasanii 10 wenye Pesa zaidi Africa..Cheki Hapa

Channel O ya south Africa imeshirikiana na Forbes na kutoa orodha ya wasanii 10 wa Afrika wenye Mkwanja zaidi. List hii imekuwa compiled kwa kuzingatia vigezo hivi:- Sales, Social -Media presence, endorsement value, YouTube views, show rates , Influence, appearance in newspapers, investments, popularity and other factors.Tuanze Countdown yetu.

PICHA ZA SHOW YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ WALIYO PIGA UINGEREZA NI NOMA SANAA


Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.

TAZAMA PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA ULIVYOAGWA JANA KWAO MAENEO YA BUNJU.



Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.

Balozi wa Togo Nchini Nigeria Amefariki Akiwa na Kimada Kwenye Ajali ya Gari Wakitoka Club

Balozi wa Togo nchini Nigeria amefariki akiwa na kimada kwenye ajali ya gari. Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujistarehesha kisha wakati wa kurudi gari walilokuwa wakiendesha likapata ajali ya kuingia baharini.
Zaidi soma hapa chini Kwa Kidungu..lol

Kifo cha Adamu Kuambiana Sumu Yatajwa

 KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana  kimeibua mazito ya kutosha, Uwazi limeshika kitu mkononi.
Moja kati ya mazito hayo ni kuwepo kwa madai kwamba marehemu alikula au alilishwa sumu kupitia chakula.

HAWA NDIO WACHEZAJI WANATARAJIWA KUSAJILIWA NA MAN U..MSHAHARA WA VAN GAAL NA ATAPEWA PAUNI MIL 200 KUSAJILI


Winged wonder: Bayern Munich star Arjen Robben is being considered by his national manager as a targetKOCHA Louis van Gaal atakuwa analipwa mshahara wa Pauni Milioni 6 kwa mwaka na atapewa Pauni Milioni 200 kwa ajili ya kufanya usajili wa maana Manchester United.
Kocha huyo Mholanzi aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya David Moyes, amesaini Mkataba wa miaka mitatu na kutangazwa rasmi mchana wa jana na atakuwa anasaidiwa na Ryan Giggs.

Monday, 19 May 2014

BREAKING NEWS; LUIS ENRIQUE KOCHA MPYA BARCELONA

KLABU ya Barcelona imemteua kiungo wake wa zamani, Luis Enrique kuwa kocha wake mpya.

Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 44, ambaye aliiongoza Celta Vigo msimu huu, amekubali Mkataba wa miaka miwili kurithi mikoba ya Gerardo Martino, ambaye ameachia ngazi baada ya msimu mmoja kazini.
Amepewa mikoba: Barcelona imemteua Luis Enrique, pichani. Hapa ni wakati alipokuwa kocha wa timu B

Baada ya Kim na Kanye – Ronaldo na mpenzi wake nao wala shavu

Bn_QOpaCEAAStDr 
Jarida la Vogue la Marekani mwezi uliopita liliwatoa kwenye cover wapenzi wanaotarajiwa kufunga ndoa hivi karibuni Kim Kardashian na Kanye West, na mauzo ya jarida hilo yakawavunja rekodi ya cover za nyuma za jarida hilo, baada ya mafanikio hayo inaonekana Vogue sasa wamenogewa.

Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa

Papa Francis kiongozi wa kanisa katoliki

Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ya kumtaka kubadilisha sheria za kanisa hilo zinazowazuia viongozi hao wa dini kuoa.

LOUIS VAN GAAL ATEULIWA RASMI KUWA KOCHA MKUU MAN UNITED, RYAN GIGGS AWA KOCHA MSAIDIZI

Dutch of class: Van Gaal will first coach Holland at the World Cup
HATIMAYE `deal done!`. Klabu ya Manchester United amemteua Louis van Gaal kuwa kocha mkuu mpya kwa mkataba wa miaka mitatu kufuatia kufukuzwa kazi kwa David Moyes mwezi uliopita.
Mholanzi huyo amechukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa muda wa Man United,  Ryan Giggs aliyeteuliwa kuwa kocha msaidizi.

Wema, Diamond Wachafua Hali ya Hewa

JAMBO limezua jambo. Pamoja na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo za MTV Africa (MAMA), mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baby wake, Wema Isaac Sepetu wamechafua hali ya hewa, Ijumaa Wikienda lilikuwa linarandaranda ndani ya nyumba.

Bosi wa EWURA Akutwa Amefariki Hotelini

Meneja Biashara wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) amekutwa amekufa hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti.

WENGER APEWA MKATABA MNONO NA FUNGU LA MAANA LA KUFANYA USAJILI WA KUFURU ARSENAL, LENGO UBINGWA LIGI KUU MWAKANI

KLABU ya Arsenal itampa Arsene Wenger Mkataba mono wa Pauni Milioni 24 na day la pauni Milioni 100 kwa ajili ya kufanya usajili ndani ya saa 72 zijazo, baada ya kumaliza ukame wa mataji wa miaka tisa.
  Wenger atasaini Mkataba mpya wa miaka mitatu ambao kila mwaka atalipa mshahara wa Pauni Milioni 8.
Na atapewa bajeti kubwa kihistoria kwa ajili ya kuingia sokoni kufanyia usajili, ili aiwezeshe Arsenal kutwaa taji la kwanza la ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2004.

Hatimaye: Arsene Wenger akiwa ameshika kwa madaha Kombe la FA, aliloshinda baada ya kuifunga Hull City 3-2 ndani ya dakika 120 Uwanja wa Wembley

Sunday, 18 May 2014

UGANDA YAPIGWA 2-0, OKWI, KIIZA WAKICHEZA, MSUMBIJI YACHINJA 5-0

E LICHA ya Taifa stars kuilaza bao 1-0 Zimbabwe katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali kuwania kupangwa hatua ya makundi kusaka tiketi ya kucheza AFCON mwakani nchini Morocco, majirani zao, Uganda The Cranes wao wameangukia pua.

VAN GAAL AMTEUA VAN PERSIE KUWA NAHODHA MPYA MAN UNITED

Double Dutch: Louis van Gaal (right) sees Robin van Persie as his perfect captain at Manchester United
 Waholanzi wawili: Louis van Gaal (kulia) anaona Robin van Persie ndiye nahodha aliyekamilika katika klabu ya Manchester United.
LOUIS van Gaal  anatarajia kumteua mshambuliaji wake hatari Robin van Persie kuwa nahodha wa kikosi chake mara atakapojiunga na Manchester United baada ya kumalizika kwa kombe la dunia majira ya kiangazi nchini Brazil.

PATI LA UBINGWA FA ARSENAL JANA, WENGER ASAULA WEMBLEY BAADA YA 'KULOA BIA'

Miaka tisa, Kombe moja: Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger alilazimika kubadilisha shati lake baada ya alilokuwa amevaa kuloana bia alizomwagiwa na wachezaji wake wakati wa kushangilia ushindi wa 3-2 uliowapa Kombe la FA jana Uwanja wa Wembley, taji la kwanza kwa klabu hiyo na mocha huyo kwa ujumla baada ya miaka tisa.
Raising spirits: Wenger is thrown into the air by the Arsenal side after the FA Cup win
Juu juu: Wenger akiwa amebebwa juu juu na wachezaji wake jana
Soaking: Wenger was soaked by his Arsenal players after their FA Cup win over Hull
Anaogeshwa mbege: Wenger akimwagiwa bia na wachezaji wake
Shower time: Wenger, visibly soaked, celebrates victory with his players
Aogeshwe huyoo: Wenger akiwa amebebwa na kumwagiwa bia na wachezaji wake.
Happy pair: Serge Gnabry and Alex Oxlade-Chamberlain enjoy winning the FA Cup
Spanish duo: Cazorla and Nacho Monreal pose with the FA Cup
Serge Gnabry na Alex Oxlade-Chamberlain, kushoto na Santi Cazorla na Nacho Monreal wakiwa wamepozi na Kombe la FA chumba cha kubadilishia nguo Uwanja wa Wembley jana
We've done it: left to right, Santi Carzorla, Mesut Ozil, Per Mertesacker, Serge Gnabry, Lukas Podolski and Aaron Ramsey with the FA Cup in the dressing room at Wembley
Kutoka kushoto ni Santi Carzorla, Mesut Ozil, Per Mertesacker, Serge Gnabry, Lukas Podolski na Aaron Ramsey
Leading the celebration: Podolski celebrates with the Arsenal fans after the FA Cup final win
Podolski akishangilia mbele ya mashabiki
Hopeful: One Arsenal fan, sporting some interesting body art, looks on during the FA Cup final
Mmoja wa mashabiki wa Arsenal akiwa kifua wazi kushangilia ubingwa