Rehema Charamila aka Ray C amekanusha
kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa
mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili
Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa
iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona
Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli
sipendi……..He is happily married and I respect him!!!!ati I met him last
week n we exchanged numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and
Single….Am loving my life”
No comments:
Post a Comment